2 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
🗯️Inapangishwa, KIMARA KOROGWE!
đź“Ť 250,000/= *4
_________
___
• Vyumba 2 vya kulala (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko
• Public
* MAJI yanatoka ndani
* Haina Fensi ila usalama uhakika
* Sehemu tulivu
#Umbali wa 1.6Km bajaji 500 au bodaboda 1,000/= had nyumbani
______
đź“Ś *MUHIMU*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 250,000/=
______
0753-172-516