2 Bedrooms House for sale at Kisarawe Ii, Dar Es Salaam
KIWANJA SQM 1,800,TSHS.45 MILIONI, KISARAWE-II, KIBADA/KIGAMBONI.
Ni Kiwanja cha Tatu kutoka Barabara Pana ya kuelekea Shule ya Mfano ya LINGATO.
Unachepukia Ilipokuwepo 'KWA MR. KUKU'
mbele kidogo ya KISARAWE-II MADUKANI.
Kilomita 2 kuingia ndani.
Hiki Kiwanja HAKIJARASMISHWA..
Eneo ni la Makazi na Majirani wamejenga wengi tu.
Ndani ya Kiwanja kuna Banda la vyumba viwili (2) lililoishia ujenzi wake kwenye hatua ya Linta.
Hapa panafaa kuweka Makazi yako tulivu.
Ama ukipenda kuendesha Shughuli za Kibiashara na Makazi kama Apartments, Lodge, Zahanati nk.
Ni hatua chache kutoka ilipo shule ya Sekondari ya LINGATO na pamesheheni MIRADI ya VIWANDA na UZALISHAJI hivyo mahitaji ya huduma za Kijamii ni wazi yatakuwa makubwa siku hadi siku.
Umeme upo jirani sana.
Barabara ipo.
Watu WAZITO na MAARUFU kadhaa kadhaa wapo maeneo haya na baadhi yao Miradi yao inajengwa kwa kasi.
Sasa wewe chelewa ujute baadae.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________HByn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.