2 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam







📌NI USHUANI SANAA
Nyumba inauzwa kati ya Kivule na msongola wilaya ya ilala Dar
Vyumba v4 viwili masta
👉BEI MILION 56 inapungua (usiogope)
Tailiz jipsam maji umeme
Jiko, bafu na choo
Ipo karib sana na stend (unatembea tu)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Eneo sqm 480 (makadilio)
Gari moja had mjini
Whatsap au piga 673 601 114