2 Bedrooms House for sale at Kongowe, Pwani


SHAMBA LILILOENDELEZWA, EKARI , TSHS.65 MILIONI, KONGOWE-KIBAHA.
Hili Shamba lina:
●Mabanda ya kufugia Ng'ombe,
●Mabanda ya kufugia Nguruwe,
●Nyumba yenye vyumba viwili pamoja na
●Mazao kadhaa ikiwemo Migomba, na Miembe.
Ni umbali wa kilomita 13 kutoka kutoka Barabara ya Morogoro. Eneo ni SOGA STATION.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Miundombinu ya Nishati ya Umeme wa nguvu ya Jua ipo.
Ikiwemo na Visima viwili vya Maji
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.