2 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA
APARTMENT HIZI ZIPO MADALE MWISHO NA KUTOKA BARABARA KUU YA MADALE HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA UNAWEZA KUWEKA NA MEZA YA DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIR-CONDITION ZINAFUNGWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ULINZI UPO MASAA 24
PRICE: 700,000 × 3
💥BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 7
SERVICE CHARGE 20,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp