2 Bedrooms House for sale at Majengo, Arusha
*MAJENGO YA KISASA YA SHULE YANAUZWA MILIONI 700 📍YAPO MADALE FLAMINGO*
*Distance* mita 800 tu kutoka flamingo centar au madale road
◇SIFA): MAJENGO: Yana madarasa 12 ikiwemo ofisi kumbi mbili za kulia chakula wanafunzi jiko la kupikia
◇Shule ina Gorofa moja yenye madarasa sita yote ni self yani yana vyoo ndani
◇MAJENGO: Yana nyumba ya vyumba viwili maalumu kwajili ya mwalimu au mwalimu mkuu wa shule
◇MAJENGO: Yana vyoo vya kisasa sana kama unavyoona kwenye picha
◇MAJENGO: Yanavyoo maalumu ambavyo hutumika na wanafunzi wenye uhitaji maalumu
◇MAJENGO: Yana Eneo la michezo kwajili ya watoto pamoja swimming 🏊♂️ pool ya kuogelea
◇MAJENGO: Yana umeme maji safi dawasco na vyumba vimeweka mfumo wa maji pamoja vyoo vyake
◇MAJENGO :Yapo mtaa mzuri sana ulio jengeka vyema sana barabara safi inayopitika muda wote kiangazi na masika
◇Eneo lote linazunguka shule limezungshiwa ukuta.
◇Plot size Sqmt 2500
◇Document; Clean TITLE DEED (Hati miliki kutoka wizara ya aridhi)
*Bei shilingi milioni 700 Mteja karibu kwa mazungumzo ya biashara*