2 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA YANI NI BONGE LA JUMBA INA UZWA TSH MIL 95 TU
UKIWA NA MAONGEZI NJOO UIONE LIVE KISHA TUTA ONGEA VZURI BEI NA MUZAJI MOJA KWA MOJA UCJARI MTEJA WANGU
HII NYUMBA IPO MBAGALA MBANDE TAMBANI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE
INA VYUMBA VNNE VYA KULALA VYUMBA VIWILI NI MASTERS BEDROOM INA STTING ROOM NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA LUKU
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER 800
INA FULL DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
NJOO BOSS WANGU UKAGUE HII SI YA KUIKOSA KABISA NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP
0759 203175 0652 618 143 π



















