2 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


BOSS WANGU TUME VUNJA BEI KUTOKA MILION 110❌️ MPAKA TSH MIL 98 TU✔️ NJOO NKUZIE BOSS WANGU HII SI YA KUIKOSA KABISA UKIWA SIRIOUSE TUNA KUPUNGUZIA ZAIDI
NYUMBA KALLI SANA INA ENEO KUBWA SQUARE MITER ⬛️ 700
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA 🏬 SERIKALI YA MTAA WA MAJI MATITU (A)
NYUMBA IPO MBAGALA MAJI MATITU JILANI NA HOSPITAL 🏥 YA MAJI MATITU
INA VYUMBA VNNE VYA KULALA VYUMBA VIWILI NI MASTERS BEDROOM INA STTING ROOM NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175 0759 203175 0652 618 143 📞