2 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba kalli sana zipo vyumba mbili kwa pamoja
Zipo mbagala chamaz mzambalauni jiji la dar es Salam wilaya ya temeke Nyumba nzuri bei ina eneo kubwa square mitar 440
Nyumba kalli sana Nyumba kubwa ina vyumba 6 vya kulala kimoja ni master bedroom
Na uwani Kuna vyumba vnne vya kulala vyote ni masters bedroom
Ina uzwa tsh mil 69 tu
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki whatspp 0759203175. 0652618143