2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







*Nyumba ya Ghorofa inauzwa Mbezi Beach- Kilongawima*
*Location* Nyumba inagusa lami ya Mbezi Beach ya chini kwa Mwamunyange
*Nyumba ya Ghorofa* Ina vyumba v6 vya kulala, v4 master bedrooms, study room, dining room, sitting room na public toilet.
*Servant Quarter 1* Ina one bedroom master na store.
*Servant Quarter 2* Ina vyumba v2 vya kulala, public toilet na sitting room.
-Swimming Pool
-Plot size Sqmtrs 1,231
-Document: Title Deed ...0787 939 898
*Bei shilingi Bilioni 2 maongezi yapo*