2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







BEI MILIONI 20
MAONGEZI YAPO
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KUTOKA
KILOMITA 2 HADI SAYITI
USAFIRI BAJAJI 700
BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE CHOO CHA PABILIKI
JIKO
UKUBWA WA ENEO
SM 200
HUDUMA ZA KIJAMII KAMA MAJI UMEME VYOTE
VIMEFIKA
NYUMBA INA UMEME TAYARI
KUPELEKWA KUONA ELFU 25000
BARABARA INAFIKA HADI SITE
SIMU
0712656027