2 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma


Je, unakuja na familia na unahitaji apartment ili kupunguza gharama za chakula na kufua — hasa ukiwa na watoto?
Leo nakuletea apartment nzuri kabisa, ipo dakika 15 kutoka mjini na dakika 5 tu kutoka airport.
Apartment hii ni fully furnished, ina vyumba viwili (kimoja ni master) na inaweza kuchukua hadi watu 6 kwa urahisi. Pia utapata huduma za swimming pool na gym kwa ajili ya starehe na mazoezi.
Unaweza kufanya booking sasa na kuanza kulipa kidogo kidogo.
Bei inaanzia: 600,000/=
Tupigie/WhatsApp 0659359393


















