2 Bedrooms House for sale at Nzuguni, Dodoma


π NYUMBA INAUZWA β NZUGUNI B DODOMA!*
π° Bei ya ofa:π Milioni 55 tu!
π Kiwanja: 332 sqm
π‘ Muundo:
- Vyumba 2 vya kulala (1 master)
- Sebule
- Jiko
- Stoo
- Choo cha nje
- Nafasi ya kujenga chumba na sebule ya pembeni
π° Huduma zote zipo:
- Maji ya bomba
- Umeme
- Parking kubwa
- Water tank tayari
π Piga sasa0716501815
0756679283
Wahi kabla haijaenda! Fursa ya kipekee kuishi au kuwekeza Dodoma!