2 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba ipo TABATA KINYEREZI - KIBAGA ,
Vyumba viwili ya kulala vyote master bedroom
Sebule, jiko na hapo KWENYE icho kigorofa juu chumba kimoja master na chini chumba kimoja.
Makadirio ya Eneo ni 350SQM.
Bei ni tsh 25M pekee.!!
Call: 0714978668