2 Bedrooms House for sale at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba ya vyumba viwili kimoja master daining seble jiko ndani ya fensi location tabata bonyokwa.
Umbali kotoka barabara kuu ni dk 7 nyumba inatizamana na barabara ya mtaa.
Numba hii inauzwa bei yake ni Ml 50 maongezi yapo.
Simu 0620124980.
0713645020.