2 Bedrooms House for sale at Zinga, Pwani


🏠 NYUMBA INAUZWA – ZINGA🏠
📍 Eneo: Zinga - Kwa Awadhi
🛏️ Vyumba: 2 (Kimoja ni Master Bedroom)
🛋️ Sebule: Ipo
🍳 Jiko la Ndani
🚻 Choo cha Public
✨ Maelezo Zaidi:
Nyumba imepigwa Tiles na Gypsum
Imeskimiwa vizuri
Umeme na maji vinafikia chooni
Umbali kutoka lami ni 1 Km tu
Kiwanja ni Mita 15 x 15
Ina hati ya Serikali ya Mtaa
💰 Bei: Tsh. Million 20 (Maongezi yapo)
🧾 Service Charge: TSh 20,000
📲 (Call/WhatsApp): 0687 800 788