2 Bedrooms House for sale in Mabanda, Tanga


KIWANJA SQM.1,850/MABANDA YA KUKU,INAUZA BANK,TSHS.65 MILIONI, GOBA
Hapa ni GOBA NJIA NNE/TEGETA-A.
Unashukia LILIAN KIBO SCHOOL.
Wastani wa mita 300 tu kutoka Barabara Kuu.
Kuna Nyumba yenye vyumba 2.
Mabanda ya kufugia Kuku na eneo ni kubwa.
Unaweza kujenga nyumba ya kuishi pamoja na Ufugaji.
Am kuweka Apartments za Biashara pia utapiga Hela.
Kiwanja SQM.1,850.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo zuri.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________jj



















