2 Bedrooms House for sale in Mbezi, Dar Es Salaam







๐Ni Appartment ya familia yenye sifa zifuatazo๐
Ipo Mbezi Magufuli Round about ya kuelekea Goba
>Vyumba (2) vya kulala, Kimoja master, Sebule kubwa, jiko na public toilet.
>A/C kubwa sebleni.
>A/C ipo pia chumba cha MASTABEDROOM.
>Jiko lenye makabati ya vyombo.
>Choo cha pablic cha ndani na nje pia kipo
>Choo cha Master ni cha kukaa
>Baraza nyuma na mbele ya nyumba (Balcony)
>Makabati ya nguo yapo vyumba vyake vyote.
>Madirisha ni ya vioo + finishing ya kisasa kabisa!
>Inajitegemea LUKU yake
>Mita yake mwenyewe ya Dawasco.
>Parking ya kupaki gari 4
>Garden na maua nje
>Ulinzi wa USIKU ni bure
>CCTV cameras 24hrs
>USAFI wa Nje ni bure kila siku
>Uzoaji wa taka ni bure
>Panafikika kirahisi dakika 5 kutoka lami
KODI
ni TSH 500,000/= kwa mwezi . Tunapokea MIEZI (6)
Ipo wazi kulipia na kuhamia RUKSA
Karibuni sana๐
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300




















