2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


9/7/2025
Nyumba inapangishwa apartment
Kodi 300,000 kwa mwezi
Miezi 6
Location bunju b
Ipo ndani ya fence Inajitegemea maji na umeme
Vyumba 2 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets
Piga simu O745010009 au 0742707023