2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Bunju, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA _____08/11/2024.
Ipo bunju beach moga kinondoni.
Bei 400,000/= kwa mwezi mmoja.
Malipo mwezi 6.
Pia malipo ya Kahena real estate mwezi mmoja.
Ni apartment ya watu 2.
Ina vyumba viwili kimoja master, Sebule Sehemu ya kulia chakula, Jiko, na choo cha pamoja.
Umeme na maji unajitegemea.
Gharama ya ukaguzi itahitajika kutoka kwako boss wetu.
Wasiliana nasi kwa kupiga sim au whatsapp 0745010009 ____Au fika ofiss yetu iliyopo bunju karibu na shule ya moga ____Karibu boss wetu tukuhudumie.