2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
MAHALI - GOBA NASH PARK
KODI TSHS LAKI 600,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala, # Master #Sebule # Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
FencedApart
Garden
0716 776247