2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA
Goba njia nne uelekeo madale
Kituo kanji bay
Vyumba viwili kimoja self
Wapangaji wa wili tu ndani ya fensi
Kutoa njia nne bodaboda 1500
Ukipanda bajaji mia tano ukishuka kituoni boda elfu moja
Bei yake 250K malipo ni miezi 6
Service charge 20,000/=
0783941740