2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location: GOBA NJIA NNE - KARIBU NA BARABARA
💧Bei: 700,000Tsh Malipo Miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Ac Kwenye Vyumba Vyote na Sebuleni
📍Sebule Kubwa Sana
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fenced
📍Good Environment 👍
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0688 067 289
0714 418 005
Call /Whatsapp