2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - MAGETI
💧Bei :: 800,000Tsh kwa Mwezi (#MIEZI_6)
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili ( Vyote ni Masta)
📍Sebule kubwa
📍Dinning
📍Makabati Chumbani
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp