2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







🇹🇿𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA CENTER
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road
• Sebule kubwa
• Dining Room
• Vyumba VIWILI Vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
• Garden
• Balcony
• Heater
• Full A/c
Apartment zipo 2 Ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji yanaflow ndani.
Price: 800,000/- Malipo Miezi 6
Service Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp