2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA MAGETI
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 3 Kutoka Main Road, Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Dining
• Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Choo Kizuri Ndani
• Fully AC
• Electrical Fance
• Heater
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 800,000/- Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp