2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA MPYAA ZA KISASA ZINAPANGISHWA
LOCATION GOBA
KITUO LILIAN KIBO
UMBALI TOKA LAMI
NI KM 1
NGUGU MTEJA HAPA KUNA AINA TATU ZA NYUMBA
SIFA ZAKE NYUMBA 1
-----------------------------------
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI
TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
KODI : 280.000X6
USAFIRI BODA 1000
UKISHUKA UPO NDAN
SIFA ZAKE NYUMBA 2
-----------------------------------
NI CHUMBA MASTER
NA SEBULE KUBWA SANA JIKO NA TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME
MAJI YANA FLOW NDANI
KODI: 230.000X6
USAFIRI BODA 1000
UKISHUKA UPO NDAN
SIFA ZAKE NYUMBA 3
-----------------------------------
NI CHUMBA MASTER NA JIKO SAFI LA KISASA
INAJITEGEMEA UMEME MAJI YANA FLOW NDANI
KODI: 150,000X6
USAFIRI BODA 1000
UKISHUKA UPO NDAN
NYUMBA HIZI ZIPO NDANI YA FENC USALAMA UPO WA KUTOSHA NA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAMALIZIA PEVING
NDUGU MTEJA KUNA CHANGAMOTO KIDOGO YA BARABARA KUFIKA KWENYE NYUMBA NA MWENYE NYUMBA ATATENGENEZA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 ๐
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI