2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
(Wapangaji Wawili Kwenye Compound)
💧Location :: GOBA CENTER
💧Bei :: 500,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0716501816
0784224865
Call /Whatsapp