2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA
Mahali :Goba Contena( Karibu na Lami) ,
Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿
Ina :
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala ( kimoja Masta)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Choo cha Public
🔸️ Parking Space
Inajitegemea kwenye Umeme
📌Dakika 5 Kwa Mguu Kutoka Lami.
BEI : 750,000 Tsh Kwa Mwezi
MALIPO ya MIEZI 6
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA