2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Gongo La Mboto, Dar Es Salaam


APARTMENT NDANI YA FENSI* INAPANGISHWA!!!!!!!!!! ππ
*KODI* - 300K (KUANZIA MIEZ MI 4) β³β³
*MAHALI ILIPO* - GONGO LA MBOTO(4 BY 4 STREET)πΉπΉ
*SIFA ZA NYUMBA* :- ππ
- INA VYUMBA 2 VYA KULALA (VIWILIIIII VYOTE NI MASTA)
- INA JIKO NZURI SANA
- FULL DECORATION LIGHT
- JIKO LINA MAKABATI YA KISASA
- UWANJA UNA PAVEMENT
- INA CHOO CHA WAGEN (PUBLIC)
- INA PARKING KUBWA SANA
- INA LUKU YAKE YA UMEME
- INA JITEGEMEA MAJI
- HAIPO USWAHILINI
- VYOO VYOTE MAJI YANATOKA (MIXA SHOWERS,SINKI LA KUPGIA MSWAKI,FLASH TANKS)
- VYUMBA VYOTE VINA MADIRISHA MAWILI
- INA ALUMINIUM
- INA GYPSUM
- NYUMBA NI MPYAA YA KISASA
- INA TILES
- FUNGUO ZA MILANGO YOTE ZIPO
- SEHEMU YA KUANIKIA NGUO
- MAZINGIRA TULIVU
- USALAMA WA KUTOSHA
- KARIBU NA BARABARA
*NB* NJOO UKAGUE NA KULIPIA ,KWANI UNACHOKIONA KWENYE VIDEO NDIO KIPO SITE
*PIGA* 0614130017 KWA UHITAJI WA VIFUATAVYO ;-
- HOUSE PLOTS
- APARTMENTS
- STAND ALONE
- VIWANJA VYA KUNUNUA
- NYUMBA ZA KUNUNUA
-