2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kariakoo, Dar Es Salaam


HII APARTMENT IPO KARIAKOO KARUME NYUMA TU YA SOKO LA KARUME
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
.
LOCATION: KARUME KARIAKOO NYUMA TU YA SOKO LA KARUME
.
UMBALI WA DK 3 TU KUTOKA KITUO CHA DALADALA KARUME
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZA NYUMBA
#############
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET
NDAN YA FENS
PARKING SPACE HAKUNA
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NYUMBA NZURI
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
WAPANGAJI WAWILI TU KWENYE FENSI
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0679062127
Silaa dalali