2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/07/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#WALINZI WA KAMPUNI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA MAZINGIRA SAFI KWA WATOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-13 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI PAMOJA NA PESA YA TAHAZARI YA KULINDA NYUMBA (200,000)
0767636395