2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA KALIII ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE #400k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom kubwa Sana dinning kubwa sebule kubwa jiko full makabati stoo na public toilet
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 3 Usafiri bodaboda 1500
Ndani ya fence parking IPO kubwa
Zipo 2 Tu kwenye fence kila Mtu anajitegemea umeme na maji,
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347