2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa, Dinning, jiko kubwa public toilet . Vyumba vyote vina makabati
Bei:450,000 Kwa mwezi × 4
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka Morogoro Road
Ndani ya fence parking IPO kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Apartments zipo mbili Tu hapa, chini ipo wazi
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena simu 0659336751 WSP 0786085637