2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #200k
=
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko ( kibaraza) na public toilet nje
==
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 6
==
Umbali Dakika 10 Kwa miguu, barabara ni lami mpaka kwenye nyumba
=
Inajitegemea umeme, maji yanaflow chooni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
==
Call 0659244543