2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA KALIII ZINAPANGISHWA
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIBAMBA SHULE KIBWEGERE #400k
Distance: KM 3 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1500
>Sebule Kubwa Sana
>Dinning Room
>Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
>Chumba Kimoja Master
>Jiko Kubwa la Kisasa
>Store Kubwa
>Public Toilet Nzuri 🚻
>Inajitegemea UMEME Na MAJI
>Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
>Reserve TANKS
>Fenced
>Parking Space Kubwa
>Good Environment 👍
KODI 400,000 × 6
Service Charge 20,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp