2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


(300,000 × 5,6) 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #300k
====
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
====
Bei:300,000 Kwa mwezi × 5 ( Malipo miezi 5)
====
Umbali km 1.4 Bajaji zipo inakuacha mlangoni LAMI HADI KWENYE NYUMBA
====
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
====
Ndani ya fence parking ni kubwa
====
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
====
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300