2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENTS ZINAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA BARABARANI
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi: Yajuu 500,000 kwa mwezi ×6
Yachini 450,000 kwa mwezi × 6
Umbali dakika 6 kwa mguu
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO kubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167