2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI KALIII ZINAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom kubwa kubwa sebule kubwa jikoni makabati na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 4
Umbali Dakika 10 Tu Kwa mguu
Ndani ya fence parking IPO kubwa
Zipo 2 Tu kwenye fence kila Mtu anajitegemea umeme na maji,
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167