2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







(200,000X6) KIBAMBA SHULE
——
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
✔️VYUMBA VIWILI
✔️KIMOJA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NDANI
✔️NDANI YA FENCE
Kodi 200,000 kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikoni
Ndani ya fence parking IPO
Umbali KM 2 kutoka Morogoro road bodaboda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
CONTACT US:-
0716223412
0618976024