2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA
vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 500,000 Kwa mwezi× 6
Umbali Dakika 6 Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence parking ya uhakika barabara safi Kwa Aina yoyote Ile ya Gari
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167