2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
Loc: kijitonyama
Price:750,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Vyumba 2 vya kulala kimoja master, sebule, jiko full
Tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea maji unajitegemea nyumba nzuri ya kisasa
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈