2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam
🔰 Apartment ya Kisasa Inapangishwa KIJITONYAMA
📍 Kodi 1,100,000/= ×6
___
_________
• Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo ni master)
• Sebule
• Jiko
• Public Toilet
* Inajitegeme UMEME na MAJI
* Maji Ndani
* Ndani Ya Fensi
* Parking
______
#Malipo Ya dalali Nasoni ni Hela ya Mwezi mmoja 1,100,000/=
#Kupelekwa kuona 20,000/=
№:- 0753-172-516