2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kilungule, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA NA JIRANI NA LAMI MPYA YA KILUNGULE INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE YA WASTANI
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN NZURI
BEI NI 350,000/= X 6
=======
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 AU BODABODA SHILINGI ELFU 1 NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
=======
CONT
0683234124
0718367179