2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kiluvya, Pwani
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO KILUVYA MADUKANI NA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LIMEFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 6
SEHEMU 'B
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#HAKUNA JIKO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 150,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KILUVYA MADUKANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37