2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
APARTMENT YA KISASA KABISA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO VYUMBA VIWILI VYA KULALA KODI LAKI TATU (300,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
=INA VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
=SEBULE KUBWA
=JIKO KUBWA LA KISASA
=NA CHOO CHA FAMILIA
KWENYE FENSI MOJA ZIPO APARTMENT 2 TUU NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
ZIPO KIMARA MWISHO KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 4 UKO KWENYE NYUMBA
BEI NI 300,000 × 6
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 20,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300