2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500, Boda 1000
KODI 300,000 × 4
SEBULE KUBWA SANA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI 🚻
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
NYUMBA HII HAIPO NDANI YA FENCE
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANATIRIRIKA NDANI 24HRS
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA 🏃♂️🏃♀️💰✍️
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp