2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#Repost dalali_makini_ubungo_riverside
——
💥 KODI NI Tsh. (400,000/= × 3) APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
🌍 LOCATION: KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE NZURI SANA
JIKO LA KISASA FULL MAKABATI
MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
✔️NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
✔️ PARKING SPACE KUBWA SANA
✔️ UMEME LUKU INAJITEGEMEA
✔️ METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️ MAJI YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
✔️FENI ZA JUU
✔️ GARDEN SAFI
KODI NI Tsh. 400,000/= × 3
📌ILIYOWAZI NI YA JUU
SERVICE CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
📞 CONTACTS
0712500602
0755336565