2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA MPYA KABISA BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA KIMARA STOP OVER DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Full air condition
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles. Gypsum
Full security masaa24
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 1,000,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1
---------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐