2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZIKO 2 TU #BEI 450,000X6 WAI NDUGU MTEJA UKAE PAZURI
#HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA ZIKO 2 TU MPYA
LOCATION KIMARA BARUTI KM 1 USAFIRI BAJAJI 500 BODA 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347